Zelensky atoa mwito wa umoja kwa nchi za NATO – DW – 09.10.2023

Zainab Aziz 09.10.20239 Oktoba 2023 Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy leo Jumatatu ameliambia Bunge la Jumuiya ya Kujihami ya NATO mjini Copenhagen, nchini Denmark, kwamba sasa sio wakati wa kujiondoa kwenye maswala ya kimataifa. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiwa na Katibu Mkuu wa NATO Jens StoltenbergPicha: Sergei Supinsky/AFP/Getty Photos  Zelensky amesisitiza juu yaumoja wa … Read more